Kundi jipya katika tasnia ya bongo fleva linalokwenda kwa
jina la RASHAC, limeanza kuja juu kwa kasi ya ajabu.
Kundi hilo linalojumuishwa na wasichana watatu wanaofahamika kwa majina ya “REY”- Rehema, “SHACKY”- Shakira na “CABY”- Beatrice, ambao kwa sasa wameachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la “KANKARAGA”.
Mzigo huo ulirekodiwa katika studio za Sorround Sound chini ya Produzya Mahiri na Up coming one E.M.A the Boy

0 comments:
Post a Comment